Singida United Wametambulisha Jezi Zao Mpya

Singida United Wametambulisha Jezi Zao Mpya
Club ya Singida United ya Singida leo August 15 2018 imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya kitanzania ya utengenezaji wa vifaa vya michezo Sports Masters.



Baada ya kusainishana mkataba Singida walitambulisha rasmi jezi zao watakazotumia msimu wa 2018/2019 kwa game za nyumbani na ugenini sambamba na kuonesha warm up kit watakazotumia.



Mkataba huo Singida United watafaidika kutokana na mauzo ya jezi hizo, hivyo rasmi wametangaza kuwa zitapatikana pia jezi original kwa ajili ya mashabiki hapa Dar es Salaam maeneo ya Shoppers Mikocheni na watafungua pia duka Singida.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad