Steve Nyerere Atangaza Ndoa ya Wema Sepetu.
0
August 14, 2018
.
Bwana mipango kutoka bongo movies ambae amekuwa akijitolea kukamilisha mambo mengi ya shida na raha katika tasnia ya sana nchini Steve Nyerere ametangaza ndoa ya mwanadada Wema Sepetu inayotegmewa kufungwa hivi karibuni.
Wema Sepetu ambae hivi karibuni kumekuwa na tetesi za kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ambae hata yeye mwenyewe hakutaka kuwaonyesha mashabiki na watu hadharani wanategemea kufunga ndoa hiyo hivi karibuni kwa mujibu wa steve nyerere.
Katika ukurasa wake wa instagram, Stev Nyerere aliweka picha za wawili hao na kuandika “wedding coming soon”
Tags