Steve Nyerere Atoa Mpya 'Nimetukanwa Sana Kwenye Misiba, Huu Msiba wa Majuto Sihusiki na Chochote"

Steve Nyerere amekua miongoni mwa Mastaa wa Tanzania wanaotajwa kujitoa sana kwenye shughuli za watu wengine iwe shida au raha, na leo hii video inamuonyesha akiwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kufika Muhimbili Hospitali baada ya kupokea taarifa za kifo cha Mzee Majuto.

Steve amekua akitukanwa na baadhi ya watu kutokana na kuonekana mara nyingi kuwa mstari wa mbele kwenye shughuli mbalimbali, tazama alichosema Steve Nyerere Muhimbili leo.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad