Steve Nyerere "Naona Misiba Imeanza Kulega lega Narudi Tena Kusimamia Misiba"


SITAACHA KUSIMAMIA MISIBA "Mimi sitaacha kusimamia misiba kwa sababu ya maneno ya watu, Nilikaa pembeni lakini nimeona utendaji hauniridhishi hivyo imebidi nirudi, baadhi ya watu kazi yao kuchuruza maji kama dodoki na niwaambie hakuna msiba wenye faida".
|| Ameyasema hayo @stevenyerere2
Katika interview na #LeoTena

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad