Steve Nyerere na Billnass Mambo Safi Wamalizana

Steve Nyerere na Billnass Mambo Safi Wamalizana
Msanii wa bongo movie Steve nyerere usiku wa kuamkia jana wamejikuta wakigongana uso kwa uso na Hasimu wake Billnass katika part ya uzinduzi wa Albam ya Barnaba iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

Steve nyerere ndiye alikuwa wa kwanza kuongea na Billnass pale alipojigamba mbele za watu kuwa yupo na mlinzi wake (Boardgud) ambaye alimtaja kuwa ni Bill nass.

Staili hiyo ndiyo ilikuwa ya kwanza kuwaunganuisha na kuwakutanisha toka waanze beef lao ambalo lililoanza kwenye mitandao ya kijamii na kujikuta jana wote wakigonga tano na kusalimiana kwa furaha zote.

Bill nass na alipohojiwa alisema ndo ilikuwa siku ya kwanza wao kukutana na hata kusalimiana pia

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa ugonjwa alio nao Dimpoz hawezi kupona

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad