Tofauti ya Lugha Kwenye Bar baina ya Zama zile na zama Hizi za Vyuma Kukaza

Lugha maarufu enzi zileeee.....;

1. Lete Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opener hapa hapa?

ZAMA HIZI SASA....


1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitanunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shingap?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. enzi zile nilikuwa naletewa tu bia mezani bila kumjua alinieninunulia zinaitwa bia za mkwezi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad