VIDEO: CUF Ya Lipumba Yaibuka Tena, Kufungua Kesi Mahakamani


Chama cha Wananchi CUF kimepinga na kulaani mpango wa kuenguliwa kwa mgombea wake wa udiwani kata ya Kimara, Abubakari Nyamguma isivyo kihalali katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Agosti 12 mwaka huu huku kikipanga kufungua kesi mahakamani kudai haki yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad