VIDEO: ''Mkurugenzi wa Habari Maelezoi Hana Mamlaka yoyote ya Kuonya, Kuandikia Chombo cha Habari Kujieleza''

"Mahakama imetamka wazi kuwa Mkurugenzi wa Habari maelezo hana mamlaka ya kutoa maonyo, kutaka waandishi wajieleze pia hana mamlaka ya kuwaandikia watu wajieleze ama kuita watu wajieleze jaji ametamka wazi mahakamani, watu wajue haki yao, wahariri wajue haki yao na haya ni mambo ambayo yapo kisheria" Kajubi Mukajanga mwenyekiti wa Umoja wa haki ya kupata taarifa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad