Video Mpya ya Fid Q Featuring Rosa Ree Nimekuwekea Hapa..Itazame

Baada ya Rosa Ree Kukosekana Kwenye Wimbo wa Fresh wa Fid Q, Sasa Fid Ameamua Kutoa Wimbo Mwingine ambao amemshirikisha Rapper wa Kike Rosa Ree, Fid Amekuwa Akimfagilia Mwanadada Huyu Kiasi cha Kumpandisha Kwenye Jukwaa Mwaka Jana Kwenye Fiesta ya Dar ili waimbe nyimbo ya Fresh Pamoja...Tazama Wimbo Alioutoa Leo Akiwa Kamshirikisha:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad