VIDEO: Ziara Ya Lugola Ruangwa yagundua madudu haya, aagiza haya yafanyike

Kufuatia ziara ya kwenye magereza huko Ruangwa  alioifanya Waziri wa mambo ya ndani Mh. Kangi Lugola na kukutana na mambo ambayo yalikuwa kinyume cha sheria ikiwamo viwanda kujengwa katika eneo la jeshi ambalo lina takribani hekari ishirini, amesema kuwa ni kinyume cha sheria.

Vilevile amesema kuwa kama watu hao au wawekezaji wanataka kuwekeza kwenye kilomo ufugaji au chochote kile wao kama wizara wapo, wanachotakiwa kufanya kwenda kuongea nao wajue nini kitafanyika juu ya hilo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad