Viti vya Makonda Vimekuja Bandarini Kwa Jina Lake Hivyo Lazima Alipe Kodi
0
August 29, 2018
“Vitu vya Makonda vimekuja kwa jina lake si kwa jina la taasisi labda vingekuja kwa jina la wizara au taasisi ya elimu ya Mkoa wa Dar es Salaam lakini ni lazima ulipiwe kodi na sheria ziko wazi”- Profesa Gaudens Mpangala
Tags