Waziri Kigwangalla nje ya hospitali Tangu Apate Ajali...Mungu ni Mkubwa

Ikiwa zimepita siku tisa tangu Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kupata ajali ya gari alipokuwa akitokea mkoani Arusha kuelekea Dodoma baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa habari wa wizara hiyo Hamza Temba. Kwa sasa Waziri Kingwangala Anaendelea Vizuri Kama Unavyomuona Hapo kwenye Picha
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad