Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amjlia Hali. Dr Hamisi Kigwangala
0
August 26, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amjulia hali.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo Agosti 26/2018 .akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Wodi aliyo lazwa ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Muhimbili (MOI),
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Tags