Wema Sepetu Amkana Mwanaume Aliye Mchumbia Kimya Kimya


Licha ya mitandaoni Kwa muda sasa Wema Sepetu kutajwa kuchumbiwa na kijana aitwaye Rahur lakini Mama Sepetu amepangua madai hayo Kwa kusema mitandaoni kumejaa uzushi mwingi .

“Mimi sitambui kabisa kama kuna mchumba eti ambaye ameshakuja kwangu na amemposa mtoto wangu na tayari tuko kwenye taratibu za ndoa hiyo sio kweli kabisa wala hakuna kitu kama hicho maana mimi ndio mzazi mwenyewe, Watu wasikazanie kuamini vitu vya mtandaoni kabisa kwa sababu vitu vingi sio vya kweli kabisa na mtandaoni kunapotosha sana ni bora kupata ukweli wa jambo lolote kutoka kwa mhusika mwenyewe,” alisema Mama Wema alipoulizwa na GPL

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wEMA NI mALI YA hAMOLAPA hUYU lAHULI KATOKA WAPI??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad