Will Smithbna Mwanaye Wapanda Steji Moja

Will Smithbna Mwanaye Wapanda Steji   Moja
Rapper na Muigizaji mkubwa Will Smith, Alhamisi iliyopita amepiga show kwenye stage moja akiwa na mtoto wake Jaden Smith.

Will alipanda kwenye stage hiyo akiwa na mtoto wake huyo wakati wa tamasha la ziara yake ya KOD lililofanyika huko mjini Miami.

Kabla ya wawili hao kuanza show hiyo wakati wapo backstage, Will alikua anongea huku akitokwa na machozi.

Miongoni mwa  sentensi ambazo Simith alikuwa akizungumza ni kwamba, kama haya sio matunda ya baba na mtoto basi hawezi jua ni kitu gani tena hiko.

Wawili Hao walitumbuiza wimbo wao wa pamoja 'Icon' ikiwa ni kama remix ya wimbo wake mwenyewe na kuamsha hisia za mashabiki kibao walikokuwa wamehudhuria. Msanii mwengine ambaye aliwasha moto kwenye tamasha hilo ni rapper J Cole.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad