Yanga Yachangiwa Zaidi ya Milioni 3 na Wadau Wake kwaajjili ya Kuchangia Timu

Yanga Yachangiwa Zaidi ya Milioni 3 na Wadau Wake kwaajjili ya Kuchangia Timu
Uongozi wa Yanga umeweka hadharani kiasi cha fedha ilichopokea kutoka kwa wadau wake ambazo ni za mchango kwa ajili ya kuisaidia klabu.

Hivi karibuni Yanga kupitia Kaimu Katibu wake, Omary Kaaya, alitangaza kuanzisha utataribu wa kuichangia klabu ili iweze kuendesha shuguli zake muhimu kutokana na kupitia kipindi cha mpito.

Katika siku nane za mwanzo kuanzia Agosti 2 mpaka 10, Yanga imepokea kiasi cha shilingi za kitanzania 3,073,263.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad