Young Dee Amkana Amber Lulu "Hakuwa Mpenzi Wangu Ila Nilikuwa Naye kwa Ajili ya Kufanya Naye Mapenzi Kila Muda Ninaomtaka"

Young Dee Amkana Amber Lulu "Hakuwa Mpenzi Wangu Ila  Alikuwa yupo kwa Ajili ya Kufanya Mapenzi Kila Muda Ninaomtaka"
Msanii wa Bongo fleva Young Dee ameibuka na kumtolea maneno shombo aliyekuwa mpenzi wake Amber Lulu na kudai hajawahi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi.

Wawili hao waliingia Kwenye bifu zito siku za hivi karibuni na kurushiana maneno mazito na matusi Kwenye mitandao ya kijamii.

Young Dee ameibuka na kuweka wazi kuwa hajawahi kuwa Kwenye Mahusiano na Amber Lulu yaani hajawahi kuwa girlfriend wake bali alikuwa ni mtu aliyekuwa yupo kwa ajili ya kukutana naye kimwili kila muda anaotaka.

Kwenye mahojiano na Sam Misago Tv, Young Dee amefunguka haya:

Amber hajawahi kuwa girlfriend wangu alikuwa ni bootycall wale watu unawapigia sana kumi usiku tu sasa unamuitaje Ex girlfriend wangu wakati sijawahi hata kukutana naye mchana”.

NIlikuwa nakutana na Amber kipindi kile nakunywa makonyagi tu siku hizi nimeacha pombe sina sehemu za kuktana naye maaana sio level zangu”.

Amber Lulu aliweka wazi kuwa bifu lake na Young Dee lilianza mara baada ya Amber kukataa kuwa kwenye Mahusiano naye.


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shame on you kwa udhalilizhaji wa wanawake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad