Yu Wapi Dogo Janja?, Video Aliyorekodiwa Uwoya na Mwanaume yasambaa

Kumekuwa na maneno mengi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na likizo ndogo aliyoamua kuichukua muigizaji kutokea kwenye Bongo Movie Irene Uwoya siku kadhaa zilizopita na kuamua kwenda Dubai.

Mashabiki wamejiuliza maswali mengi kutoakana na Dogo Janja kuonekana sehemu tofauti na aliopo mke wake huku wengine wakihusisha kuwa kuna mwanaume mwingine nyuma ya bata hilo analokula Irene Uwoya akiwa Dubai.

Leo August 31,2018 watu wamezidi kuweka alama ya viulizo na kujiliza inawezekana Irene uwoya akawa ameachana na Dogo Janja? Hii ni baada ya sauti ya mwanaume mwingine kusikika kwenye video ambayo alikuwa akirecordiwa Irene Uwoya akijaribu kuimba huku wote wawili wakiwa chumbani.
A post shared by Actress/Mom/Queen of Bongo Mov (@ireneuwoya8) on

TAZAMA VIDEO MPYA YA ROSA REE HAPA CHINI ALIYOTOA LEO..
HAYO MAUNO SI YA NCHI HII:



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad