Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Mjini Dodoma

Ajali Nyingine Yatokea Dodom
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, kuna ajali imetokea asubuhi hii ya Jumanne, Septemba 11, 2018 ikihusisha gari la serikali (STK) aina ya V8 na gari binafsi kugongana eneo la Nanenane jijini Dodoma.

Inasemekana V8 ilikuwa ikilipita gari jingine njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na gari ndogo iliyokuwa mbele ikaingia ghafla kuelekea UDOM ndipo ajali ilipotokea. Inasemekana gari hilo ni la kiongozi wa mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lakini baada ya www.globalpublishers.co.tz kuzungumza na RPC wa Dodoma, Girres Muroto amesema hajapata taarifa za tukio hilo bado. Endelea kufuatilia taarifa zaidi kupitia GlobalHabariUpdates.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad