Ali Kiba Aanza Jana Rasmi Kucheza Mpira


Mwanamuziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba @officialalikiba jana alianza rasmi kuitumikia klabu ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Arusha United - mchezo ambao uliandaliwa maalum kwa ajili ya kutambulisha jezi mpya za timu hiyo inayoshiriki katika ligi kuu ya Tanzania.

Pamoja na kuichezea timu hiyo, Alikiba pia ni mdhamini rasmi wa timu hiyo kupitia brand yake ya Mofaya Energy Drink.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad