Baada ya Kubwagana na Petit Man Esma Ajigamba "Nitachagua Wanaume Kama Kalanga"

Baada ya Kubwagana na Petit Man Esma Ajigamba "Nitachagua Wanaume Kama Kalanga"
BAADA ya kuachana na mumewe, dada wa mwanamuziki maarufu wa Afro-Pop, Na­sibu Abdul ‘Diamond Platinumuz’, Esma Khan amefunguka kuwa amejifunza pindi atakapoamua kuingia tena kwenye uhusiano ni lazima atakuwa akichagua mwanaume kama karanga ili angalau ampate mwenye uaminifu.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Esma alisema amekuwa akiumia na kuvumilia muda mrefu kwenye ndoa yake hiyo ya yeye na mumewe, Hemed Manungi ‘Petit Man’ kabla ya wawili hao kutengana.

“Unapoumwa na nyoka lazi­ma ukiona hata jani unashtu­ka sana na ndiyo yameniku­ta. Sasa hivi mwanaume lazima nimkague sana hata mwaka mmoja ndiyo niweze sasa kuolewa naye au hata kuwa wap­enzi vinginevyo hapana, siwezi,” alisema Esma

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad