Baada ya Kuonekana Ommy Dimpoz Kapungua Mwili Sana..Daktari Afunguka Sababu

Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa msanii Ommy Dimpoz kuhusu hali yake na jinsi alivyopatiwa matibabu huko Afrika Kusini, Ayo TV imemtafuta Doctor Robert Mongi ambaye amefafanua kuhusu Ugonjwa aliougua msanii Ommy Dimpoz .

Pamoja na ufafanuzi lakini pia Doctor Mongi ameelezea kuhusu kupungua kwa Ommy Dimpoz je inasababishwa na nini? vipi mtu anaweza kuupata ugonjwa huo kwa vilevi au Sigara..? na je anahisi kwanini Ommy Dimpoz aliambiwa hapa bongo kuwa ana kansa lakini alipoenda nje akaambiwa ni sumu.?

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad