Bahati Bukuku "Sio Siri Nilishawahi Kuolewa Ndoa Ikanishinda"


"Mimi niliolewa ila kwa bahati nzuri au mbaya ndoa yangu ilinishinda na haikudumu kwa muda mrefu tulitengana yeye anaishi kwake na mimi ninaishi kwangu ni takribani miaka 12 sasa. Na hii sio siri na hata kama nitaandika kitabu au popote nitapokuwa sehemu hii siwezi iruka, kwamba niliolewa na ndoa ikanishinda nikaachika, nikaendelea kuishi na maisha yangu na wala sio siri wala kilema" || Ameyasema hayo Msanii wa Gospel Bahati Bukuku

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad