Basil Mwanukuzi Afunguka Kuhusu Gari ya Miss Tanzania, Ataja Bei ya Gari Hilo


Miaka 20 iliyopita Basil Mwanukuzi alikua Miss Tanzania ambapo baada ya kuona shindano hilo linakosa mvuto kadri miaka inavyosogea aliamua kuomba nafasi ya kuliendesha na akakubaliwa.

Miss Tanzania 2018 ndio shindano la kwanza kufanyika toka ameanza kulisimamia na kiukweli kwasababu yeye ndio anajua alivyopambana mpaka kulifanikisha, anashukuru kwa jinsi vitu vilivyokwenda

Zawadi za shindano hili ambazo baadhi ya watu wameonekana kutoridhishwa nazo, anajua jinsi alivyozipata kwa jasho lake mwenyewe ikizingatiwa kuwa ndio mwaka wake wa kwanza

“Ni gharama kubwa sana, vitu vyote hivi nimenunua mwenyewe, Gari nimenunua Milion 15”

Basila anatarajia kupata Wadhamini wakubwa zaidi siku zijazo watakaochangia zawadi kubwa na hata tukio lenyewe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad