Billnass "Ndoa Siku Hizi Azidumu..Hawana Uchungu na Michango Yetu..."

Msanii wa bongo fleva Billnass amefunguka na kusema kuwa msimamo wake kuhusu ndoa ni kuwa kama wale wanaotoa michang kwa ajili ya kufanikisha harusi wangekuwa wanafatilia sana michango yao na kama harusi inavunjika basi watu hao wanaonjiwa basi isingetokea ndoa kuvunjika hata siku moja lakini kwa sababu ya kuzembea na ndio maana ndoa zinavunjika sana.

Katika ukurasa wake wa twitter, billnass aliandika
“NDOA NYINGI ZA SIKU HIZI HAZIDUMU KWA SABABUWATU HAWANA HURUMA NA MICHANGO YETU, INGEKUEPO SHERIA KUWA MAHARUSI WAKIACHANA BIBI HARUSI AOLEWE NA ALIYETOA MCHANGO MKUBWA, NDOA ZINGEDUMU, ..akili za usiku.”

Billnass amekuwa siku zote akiandika baadhi ya mambo ya kijamii kwa njia ya utani lakini mwisho wa siku anakuwa akifikisha ujumbe kwa jamii anayoizunguka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad