Bondia Hassan Mwakinyo Auponda Ushindi wa Anthon Joshua

Bondia Hassan Mwakinyo auponda ushindi wa Anthon Joshua
Bondia kutoka Mtanzania aliyefanikiwa kuiwakilisha nchi kimataifa Hassan Mwakinyo amefunguka kuhusiana na maisha yake mwanzo hadi mwisho. Hassan wakati akipiga stori na Bongo five amefunguka na kusema yeye anaweza kupigana na bondia yeyote haogopi rekodi za mtu cha msingi anaamini mazoezi yake.



lakini ameongelea msimamo wake kuhusiana na kutaka kupigana na bondia mwingine Muingerenza Amir Khan na kusema msimamo wake uko pale pale bado anamuhitaji bondia huyo apigane nae.

Baada ya kuulizwa swali kuhusiana na ushindi wa Anthon Joshua Mwakinyo amesema ” Yeye hamuelewi kabisa Joshua na haipendi saili yake ya kupigana na ndo mana haangaliagi hata mapambano yake:-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad