Bondia Mwakinyo Apata Neema, Atolewa Gym ya Uchochoroni Hadi Gym ya Kisasa


Baada ya kusambaa video inayomuonesha bondia mtanzania Hassan Mwakinyoaliyeshinda pambano la ngumi nchini Uingereza dhidi ya Bondia Muingereza Sam Eggington, akiwa anafanya mazoezi kwenye Gym asiyo na ubora huku akipiga tairi kama panching bag ,hatimae wamejitokeza wadau na kumsaidia kumpa muda wa miezi sita kufanya mazoezi kwenye Gym yao bure bila malipo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad