Breaking: Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi ya Serikali Kuhusu Ving’amuzi Chaneli za Ndani
0
September 10, 2018
Mapingamizi ya Wakili wa Serikali yaliyokuwa yanapinga Mahakama kuondolewa amri ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayozitaka baadhi ya kampuni zilizokuwa zikionyesha chaneli za ndani kuondolewa kwenye ving'amuzi vyao ymetupilia mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa.
Tags