Breaking News: Baba Mzazi wa Profesa Jay Amefariki Dunia

Breaking News: Baba Mzazi wa Profesa Jay Amefariki Dunia
Mbunge wa Mikumi kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Joseph Haule (Profesa Jay) amefariki dunia leo akiwa katika Hospital St. Kizito Mikumi wakiwa katika mipango ya kumpeleka Muhimbili.

Prof. Jay amethibitisha kifo cha Baba yake katika mawasiliano aliyoyafanya kwa njia ya simu akiwa Dodoma.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad