Breaking News: Mhadhiri na Mtangazaji Misanya Dismas Bingi Afariki Dunia

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ambaye pia aliwahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One, Dkt. Misanya Dismas Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupata nstroke na kupelekwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad