BREAKING NEWS: madiwani wengine CUF Wakimbilia CCM


Makamo mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa na madiwani wengine wawili wa halmahauri hiyo wameachia ngazi na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM). 

Habari kutoka mjini Liwale ambako zinafanyika kampeni za ubunge wa jimbo hilo.Zimeeleza kuwa madiwani hao wamejiuzulu leo huko Liwale. 

Waliojiuzulu wametajwa kuwa makamo mwenyekiti huyo anaetambulika kwa jina la Ibrahim Msati(Kata ya Miteja),Jafari Arobaini(Kivinje Singino na diwani wakata ya Somanga aliyetambulika kwa jina moja la Malolo. 

Juhudi za kuwapata viongozi wa CUF na CCM wathibitishe hazikuweza kufanikiwa.Kwasababu wote wapo kwenye mikutano ya kampeni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad