Breaking News: Makontena ya Makonda Yapigwa Mnada

Breaking News: Makontena ya Makonda Yapigwa Mnada
Makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yamepigwa mnada tena leo Jumamosi, Septemba 1, 2018 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika bandari ya Dar es Salaam baada ya kushindwa kuyalipia kodi ya Tsh bilioni 1.2.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad