BREAKING News: Moto Unawaka katika duka la ujenzi Barabara ya Nyerere

Moto unawaka muda huu katika duka la vifaa vya ujenzi barabara ya Nyerere jijini Mwanza, chanzo cha moto bado hakijafahamika. Tunaendelea kufanya mawasiliano na Kamanda wa Polisi Jijini humo ili tuweze kujua kama kuna majeruhi yoyote.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad