Breaking: Soudy Brown Aachiwa kwa Dhamana Akamatwa Tena

Breaking: Soudy Brown Aachiwa kwa Dhamana Akamatwa Tena
Mtangazaji wa Clouds Fm ambaye ni maharufu kupitia kipindi cha Shilawadu Soudy Brown leo ameachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena na polisi na kuwekwa ndani.

Inadaiwa kuwa leo alifikishwa mahakamani kwa kosa la kumiliki blog bila kusajiliwa ambapo aliachiwa kwa dhamana ila baada ya kuachiliwa alikamatwa tena  na kurudishwa rumande atapelekwa tena mahakamani jumatano katika kesi nyingine inayomkabili ikimuhusisha yeye na Maua Sama

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad