CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere

CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kiasi cha Sh. 10 milioni kwa ajili ya kusaidia wahanga wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 2018.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isaack Kamwele na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole.

Makabidhiano hayo yalifanyika  katika kijiji cha Bwisya kisiwani Ukara, Septemba 24, 2018 na kushuhudiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad