Daimond Adaiwa Kumzawadia Gari Bebi wake Mpya...

Inasemekana kwa sasa Dai anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...

Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano na Irene mtoto wa buguruni...na Mara kwa Mara wanakua pamoja rejea safari ya Zanzibar walifotoliwa Airport wakiwa pamoja
Jana ilikua bday yake bidada naona kapewa zawadi ya Volkswagen 2017 na mpenzi wake mpya yasemekana ni diamond platnumz...!!! 

Bidada mwenyewe anaongea kwa kujiamini akiulizwa kuhusu daimond    !!

Yaani wanawake sie kwenye pesa jamani sijui tunakuwaje maana nakumbuka hao wote walipoita kwa dai yaliwakuta lakini waling'ang'ana mwisho wakasanda Leo na huyu anaingia kwa kujiamini masikini wee...!!

Yaani na alivyo na mama mnafiki sasa hivi mahaba km yote kwa officiallyn..mpk bday kamuwish...

Tabu wanapata mashabiki wa mahawara wa daimond sasa wenye timu zao maana sasa hivi watajikuta wanatukana kila mdada...ila wangejua siku moja wangekataa utumwa wakarudisha kibao kwa mondi waungane wamtukane wote...ila kwa kua wanawake tuna asili ya kuchukiana sisi kwa sisi tabu atapata Irene sasa mpaka ajuteee...

Na yeye atakuua maarufu sasa hivi!!!

Mjini sihami ng'ooo...sikuja kwa mbio za mwenge...umbea siachi maana nimeanza kufatilia toka gazeti la Kiu wanashirikiana Shigongo na tamba mpk Kiu ikazaa ijumaa,uwazi na mengine!!
Nimetoka nao mbali...mtanisamehe jamani 

TAZAMA VIDEO


By  Thetruth2015/JF

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad