Diamond Kaamua Kusuka Rasta....Tazama Hapa Alichokisema Gigy Money


Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money ametoa neno mara baada ya kuona muonekano mpya wa nywele za Diamond Platnumz.

Muimbaji ameonyesha kuvutiwa na muonekano wa Diamond lakini akimueleza kuwa kubana sio poa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

"Na leo ni Monday right ok, Diamond Platnumz is My crush Monday, sema Chibu unampenda sana Mama Dee napenda unavyomsapoti kwa kweli unajua mpaka kusuka rasta kabana sio poa ujueee.  I love you Nasibu super star mwenzangu coz unafanya kitu roho inapenda," ameeleza Gigy Money.

Kwa mara ya kwanza leo September 03, 2018 ndipo Diamond ameonekana hatharani akiwa na muonekano wa tofauti kwenye nywele zake pale alipotokea kwenye mkutano na Waandishi wa Habari.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad