Diamond kushughulikia matibabu ya Hawa "Nitarejea"


Msanii wa bongo Flava Naseeb Abdul, Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kumsaidia Mpenzi wake wa zamani Hawa aliyemshirikisha katika wimbo wake wa 'Nitarejea' ambae anasumbuliwa na ugonjwa wa Ini.


Kupitia ukurasa wake wa twitter Diamond ameandika "Niko nashughurikia now kwenda India kutibiwa.. ila sikutaka kutangaza coz sitaki watu wachukulie msaada wangu ni kiki...but kwa kuwa maswali yamekuwa mengi juu yake imebidi nijibu....na matibabu yake si chini ya milioni 50 na nitadeal nayo tu!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad