Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameibuka na kueleza kuwa mwili wake ni sawa na juice, anajua kuna ambao wanahitaji lakini hawatoweza kukabiliana na msongo wa mawazo.
Kupitia ukurasa wake Instagram.
"You know this Body is Juicy!!!....and i know you want it..... but don't get fooled, you won't handle the stress!!!"
Hivi karibuni Diamond alikuwa kwenye mvutano na Hamisa Mobetto ambaye ni mzazi mwenzie, kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa akihitaji kuoelewa naye.
Hii ni baada ya hapo awali muimbaji huyo kuachwa na mzazi mwenzie pia Zari The Bossladay
Diamond: Mwili Wangu ni Juisi, Najua Unautaka Lakini Huwezi Kukabiliana na Stress
0
September 24, 2018
Tags