Dogo Janja Avua Nguo Hadharani Akidai Hana Rafiki na Dunia

Dogo Janja Avua Nguo Hadharani Akidai Hana Rafiki na Dunia
Hakuna ubishi ni ubunifu uliotukuka; Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa Tanzania, Dogo Janja kupitia video ya wimbo wake mpya wa IMANI ameonekana akivua nguo zote na kuvaa majani ya migomba.



Video hiyo iliyoachiwa masaa 19 yaliyopita mtandaoni, tayari imepata views zaidi ya elfu laki moja na wimbo huo umetokea kuwavutia mashabiki wake karibia wote waliotoa maoni yake.

Kichupa hicho kimeongozwa na Director Yoel Mrisho na Producer ni Genius, tazama kichupa hicho hapa chini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad