Ester Matiko: Nimegundua Wapinzani Tulimpinga Bila Sababu Magufuli Kafanya Suala la Maana Kwenye DreamLiner

Mbunge wa upinzani Easter Matiko amesema jana kapanda ndege ya dreamliner na kujionea uzuri wake ;
Ameendelea kusema kwamba mara zote amekuwa akiisema serikali ya Kikwete kutonunua ndege lakin huyu kafanya,

Pia kashauri kwa uzuri ukubwa n.a. uwezo, wa ndege hiyo ATCL hawaitendei haki kuruka ndani ya nchi yaan domestic routes, kashauri ianze route za mbali kama ulaya na Asia,

Akaendelea kusema kwamba baada ya kuipanda amegundua kitu na kuwasihi wabunge wote wa upinzani na chama tawala kuipongeza serikali na kushauri inunue ndege nyingine zaid kama za bombadier na fast jet ili zifanye routes za ndani then tuongeze ndege kama dreamliner tufanye international routes

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad