Faiza Ally Sio Mtu Mzuri...Amjia Juu Mke Wa Sugu Baada Ya Kupiga Picha na Mtoto Wake


Msanii wa filamu za kibongo Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, amemjia juu Mke wa Sugu baada ya kupiga picha na mtoto wake.

Faiza amerudi Kwenye headlines baada ya povu lake  siku ya jana kupitia mtandao wa Instagram ambapo Mke wa Sugu aitwaye Happy, alipiga picha ndani ya ndege na mtoto wa Sugu na Faiza Sasha wakati akimtudisha Jijini Dar.

Basi baada ya Faiza kuona picha hizo aliyekuwa mbogo na kumvaa Mke wa Sugu ambapo alimtuhumu kwa kupiga picha na mtoto wake ili apate kiki na kudai hana mapenzi ya kweli kwa mwanaye.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Faiza aliandika maneno haya:




Faiza na Sugu wamekuwa Kwenye vita za mitandao ya kijamii mara kwa mara huku Faiza akimtuhumu mzazi mwenzake kwa kugoma kutoa pesa za matunzo huku akimlaumu Mke wa Sugu kama chanzo cha yote

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad