Kupitia ukrasa wake wa instagramu Faiza amemtolea povu mwanamke huyo kwa kumpiga stop asipige naye picha mwanaye na akitaka hivyo abebe mimba azae wake.
"Koma kupiga picha na mwananguzaa wako ...na michezo yenu hiyo sijui unapataje mtoto ....baba sasha mkataze huyo mtu mwenye sura mbaya kutafuta kiki mwanangu ...HIVI UNASHINDWA NINI KUMPA MIMBA KAMA ULIVYO NIPA MIMI AU NYIE HUWA MNAFANYAJE??????????"
Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa Faiza kumshambulia mzazi mwenzake kwani siku chache sasha alienda kwa baba yake kwaajili ya mazishi ya bibi yake ambaye ni mama mzazi wa Sugu na alimshambulia kwa kumtaka awahi kumrudisha mtoto kwakuwa amefungua shule.
''Unachotaka Niku mtenganisha sasha na baba sasa umefaulu ! Sasa mtaishia kuona picha zake insta tu ....na Mungu akufanye uwe tasa for rest of your life ! Tuone sasa kama kupiga picha na sasha ndio kutafanya awe mwanao! We ni mtumbaya mama hataki na mwanae una n'gan'gania nini ? Au unataka roho yake ? Nenda kaadapti mtoto umlee kama huzai ! Niachie mwananguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu''Faiza alitoa maneno makali na leo pia amekuja na jambo lingine na kumsihi Sugu ampe mimba Mkewe kama alivyompa yeye.
mmmmmmh cyo fare kadada MUNGU NDO ANAYETOA HILO LIKO JUU YA UWEZ WA MWANADAMU!!! TEMEA MATE CHNI, WASHAHILI WANASEMA!
ReplyDeleteFaiza achana nae huyo amekuchokoza makusudi alijua utatoa povu kama kawaida yako, ili apate kiki, wewe achana nae tu
ReplyDelete