Fedha ya Zambia kuanza kutumika Tanzania

Fedha ya Zambia kuanza kutumika Tanzania
Baada ya kituo cha Pamoja cha Forodha cha mpaka kati ya Tanzania na Zambiakuanza rasmi kutumika good news iliyotangazwa leo na Benki Kuu ni kuwa Magavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga na Benki ya Zambia, Dkt. Denny Kalyalya watatia saini makubaliano kuhusu matumizi ya fedha za nchi mbili za Tanzania yaani Shilingi na ile ya Zambia yaani Kwacha ili ziweze kutumika katika Miji ya Tunduma na Nakonde.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad