First Class Mistake Wanawake Mnafanya Kwenye Mahusiano

Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.

Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.

Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.

Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.

Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad