FRED LOWASSA “Wanaomsema Mzee wangu Nimekuja Kuwatia Adabu”

Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Fred Lowassa ameibukia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Monduli na kuwataka aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Julius Kalanga na Isack Joseph maarufu Kadogoo, kukaa kimya kwani anawafahamu kuliko wanavyojifahamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa CHADEMA amesema, amelazimika kuwajibu vijana hao kutokana na kuendelea kumchafua Mzee Lowassa. “Kama kuwatia adabu hawa vijana niachieni mimi, ntawatia adabu ninawafahamu vizuri sana”

 VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad