Gigy Money "Zari Anadharau Sana...Heri Mimi Nikate Mauno Kuliko Kudanga"

Muimbaji Gigy Money amerudi tena na time hii amezungumza na kugusia ishu yake ya kumuongelea Zari ambapo kasema kuwa Zari hapaswi kujibu vibaya watu mtandaoni na kuwadharau lakini pia ameongezea kwa kusema kuwa sahivi yeye haitaji kudanga ni bora akate mauno tu kwani muziki unalipa kuliko kudanga.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad