Hamisa Mobetto "Voice Note Zilizovuja Zilikuwa Zangu ila Nilikuwa Naongea na Shekhe sio Mganga"


Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya Hamisa Mobetto na Mtangazaji Lily Ommy Katika Kipindi cha Play List cha Times FM ,Hamisa ameweka wazi kuwa zile sauti zilizovuja akiongea na mganga zilikuwa zake ila amekanusha na kusema yule hakuwa mganga bali alikuwa shekhe wa dini na nia yake kubwa ilikuwa ni kuomba amani kati yake na familia ya Diamond na wala si kumloga mama Diamond Kama Diamond Alivyodai



Mtazame Hapa:

A post shared by Udakutv (@udakutv_) on

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad