Hatimaye Muna Love Kaamua Kumfuata Mtoto Wake Brayani Anayedaiwa Kumtelekeza Moshi

Hatimaye Muna Love Kaamua Kumfuata Mtoto Wake Brayani Anayedaiwa Kumterekeza Moshi
Baada ya tuhuma nzito ya kutelekeza mtoto Munah Love ameamua kumfuata Mwanae BRYAN akiwa ameambatana na Masanja!

Hii imekuja baada ya mwanadada huyo kushambuliwa na mashabiki zake kuwa anayoyafanya ayampendezi mungu ikiwa kama yeye ameamua kuokoka.

Basi kupitia ukrasa wake wa instagram muna Love aliweka video ikimuonyesha yeye akiwa na masanja wakiwa kwenye ndege huku akijiita mama Brayan na kusema kuwa wapo njani kuelekea kumchukuwa mtoto wake huyo anayedaiwa amemtelekeza

Mama Brayani na Kaka yangu @mkandamizaji 😂😂😂kaka amekemea pepooo balaaa Yesu akutunze kaka leo Umenifundisha kitu kikubwa ...Peeeeeepoooo pepooooooo😂 mjiandae video ya pepooo video Qeen mimi wa hiyo nyimbo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad