Hizi Hapa Siku Nne za Ushindi wa Hassan



Hassan Hassan (23), Mkazi wa Pugu, Dar es Salaam ni mshindi wa
Shilingi Laki 5 kupitia MojaSpesho, ambaye amebainisha kuwa
alianza kucheza siku nne zilizopita, na siku zote hizo alidaka ushindi.
“Siku ya kwanza nilishinda Elfu tano, Siku ya pili Elfu mbili, siku ya
tatu Elfu moja na siku ya nne nkashinda laki tano.” amefafanua
Hassan.

Hassan ameeleza kuwa, pesa aliyoshinda itamsaidia kusogeza mbele
ujenzi wa nyumba yake aliouanza kabla ya kushinda.


Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki.

Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi

1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney
au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno
SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad